Picha ambayo imeleta gumzo kwenye mitandao ya kijamii inasemekana eti hiyo tatoo ni ya msanii mfanyabiashara mkubwa anaeitwa zari the boss lady.
Akizungumza na mwadishi wetu wa habari kutoka kinguswazmedia ndugu bwana josephat charles ameiambia kwamba yeye hiyo sio tatoo yake wanamsingizia tu.
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA