Mwana FA Feat Vannesa Mdee_Dume Suruali (MASHAILI )

Artist: MWANA FA
Song: DUME SURUALI

Hudat hudat hii ni salam na ufahamu,
Kama unauza mapenzi sio kwa binam,
Hakuna haja ya kusubiri hii ni hukumu,
Hakuna kitu utapata utangoja kama askari wa zamu,

Dume suruali Dume kaptula,
Shauri zako mradi sipati hasara,
Usione utani me sihongi hata kwa ishara,
Utaniambia nini mpaka unigeuze fala,
Kwanza nasikia hongo zinaleta mkosi,
Sentano yangu hugusi, Hata ukiongea kidosi,
Yabaki mapenzi tusileteane ujambazi,
Hata upige sarakasi Utachonga Viazi,

BAHILI KAMA NINI!!!!!!!!!

Ndio mnavyosema,
Na ukiniomba kesho hunisikii tena,
Kwani unauza nini dada,
Hunitakii mema,

Nihonge nanunua nini kwanini yani,
Kuna kipi nisichokijua ina TV ndani,
Usiulize ntakupa nini dada piga moyo konde,
Viuno vingi kama mwali wa kimakonde,
Usipende hela kama mfuko,
Au fanya unavyofanya upate zako,
Vishawishi vingi binti sema na moyo wako,
Na ujifunze pesa zinauza utu wako,

Tajiri mtata kama Salah
Zipo ila sitoi me ni balaa,
Unapenda hela zangu nami nazipenda pia,
Kila mtu abaki na zake bye baby tutaongea,

MWANAUME WA HIVYO WA NINI SASA!!!!!!!!

Ndio mnavyosema,
Na ukiniomba kesho hunisikii tena,
Kwani unauza nini dada
Hunitakii mema,

Aje aje ajeeee Me mtoto fulani ghali
Nihonge gari Ma swt swt baby
C u to day unipeleke part
Aje aje ajeee Njoo nikupe TBT

Sio kwa enzi ya Magufuli,
Zali ilikuwa long siku hizi hakuna la mentali,
Nikikuhonga na ukiniacha nitakujia usingizini,
Naepusha shari matatizo yote ya nini,
Hakuna kipya chini ya jua,
Hata nisiyyafanya nishayasikia,
Ningekuwa mhongaji ningeshafulia wangu,
Mademu wangu wa zamani wote wangekuwa maadui zangu,

MWANAUME HOVYO WEWE!!!!!

Ndio mnavyosema,
Na ukiniomba kesho hunisikii tena,
Kwani unauza nini dada
Hunitakii mema,
Baki na hamu zako,

Hata pantoni lina staff

Comments