HIVI JAMANI WASANII WETU MBONA WAMEKUWA WATU WA KUTOKUJIAMINI NA WATU WA KUTAFUTA WACHAWI MAMBO YAO YANAPOFELI BADALA YA KUTAFUTA SULUHISHO NILIKUWA NASIKILIZA INTERVIEW YA ommydimpoz KUPITIA THE PLAYLIST YA timesfm NA MTANGAZAJI AKIWA NI lilommy SASA NILICHOSHANGAA NI JAMBO LA DIMPOZ KUSEMA KUNA WASANII WANANUNUA VIEWS YOUTUBE LIKE SERIOUSLY ILA CHA AJABU AKAULIZWA SWALI KUWA KWANINI VIDEO YA #KAJIANDAE VIDEO IMEWEKWA KWENYE BIO YA alalikiba AKAJIBU ALIONA IWE KULE SABABU ZA KIBIASHARA MAANA ALIKIBA ANA SUBSCRIBERS WENGI ZAIDI YAKE HIVYO ITAPANDISHA VIEWS HARAKA MPAKA HAPO UTAGUNDUA OMMY DIMPOZ ALISHAJIJIBU MWENYEWE KUWA ILI WIMBO WAKO UWE NA VIEWERS WENGI LAZIMA CHANEL YAKO IWE NA WATU WENGI WALIOJIUNGA NAYO..ommydimpoz NADHANI ULIENDA KWENYE INTERVIEW UKIWA UNA WASIWASI KUWA NYIMBO YENU NA KIBA LABDA HAITAKUWA NA VIEWS NYINGI NDO MANA UKAANZA KUTAFUTA SABABU MAPEMA ILI WENYE VIEWS NYINGI WAONEKANE WANA NUNUA..KWANZA YOUTUBE NI SEHEMU YA BIASHARA AMBAKO KADRI WATAZAMAJI WANAPOKUWA WENGI HAPO NA WEWE DAU LAKO LINAPANDA SASA NAJIULIZA INA MANA DIMPOZ ALIKUWA HATAKI HELA INA MANA KAMA KUNA WATU WANA UWEZO WA KUKUONGEZEA VIEWS WAKAWA BILIONI MOJA UKAPIGA HELA KWELI ULIKATAA AU ULIONGEA SABABU YA HISIA ZAKO TU ZA WOGA..MIMI NAOMBA WATU WAAMINI KUWA HAKUNA MTU MWENYE UWEZO WA KUNUNUA VIEWS YOUTUBE HATA SIKU MOJA INGEKUWA HIVYO KUNA WASANII WANGEKUWA NA BILIONI VIEWS KWENYE NYIMBO ZAO ILA KINACHOFANYA VIEWERS WAWE WENGI NI IDADI YA WATU WALIOKO KWENYE YOUTUBE CHANEL YAKO MFANO JUZI millardayo na diamondplatnumz WALISHINDA KATIKA TUZO ZA YOUTUBE KWA KUWA NA VIEWS NYINGI ZAIDI KWENYE VIDEO ZAO NA MOND ALICHUKUA KAMA MSANII AMBAYE KWA AFRIKA MASHARIKI NYIMBO ZAKE ZINA VIEWS WENGI ZAIDI NINA UHAKIKA HAKUNA MTU AMBAYE HAPENDI JAMBO KAMA HILO NA INGEKUWA UWEZO WA KUNUNUA UPO WENGI WANGENUNUA..WASANII WETU MNATAKIWA KUJIAMINI NA SIO KILA INTERVIEW MNAGEUKA WATU WA KUTAFUTA SABABU ZA KUJIOKOLEA NA KUSHUKA KWA MAMBO YENU.
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA