TUNDA ACHEPUKA NA DIAMOND PLATNUMZ SOMA HABARI HII

U-HEARD-: KIBOSILE AMTEMA TUNDA BAADA YA KUGUNDUA ANACHEPUKA NA DIAMOND PLATNUMZ Za kunyapia nyapia zimemfikia mwakilishi wa shirika la wambea duniani SHILAWADU Soudy Brown kumuhusu Video vixen Tunda Apple ambaye ametokea kwenye chupa la Diamond Platnumz naRayvanny “Salome”. Taarifa hizo zikidai kuwa Sponsor ambaye alikuwa akimuweka mjini (Kumuwezesha kifedha) dada yetuTunda amebwaga manyanga baada tu ya kutambua kuwa Tunda anachepuka na msanii Diamond Platnumz. Inasemekana Tunda alifunga safari kutoka Dar es Salaam na kwenda kula bata na Diamond kwenye show ambayo imefanyika weekend iliyopita visiwani Zanzibar. Ndipo wawakilishi wa Shilawadu walipoona vitu vitu flani hivi vya kutatanisha baina ya wawili hao.

Comments