*TAHADHARI VIDEO ZA NGONO.......*
```Elewa kwamba XVIDEOS ni video za ngono ambazo pia hujulikana kama Mikanda ya X, na XPICTURES ni picha za uchi zilizopigwa na watu mbalimbali kote ulimwenguni ambapo nyingi kat yazo hupigwa na wanawake. Sasa leo nataka kukujuza jambo hili, ya kuwa Amin usiamin ndugu yangu ukwel ni kwamba si video zote za ngono huchezwa na watu wa kawaida, zipo ambazo huchezwa na evil spirits kama vile ‘majini’ ambayo huchukua umbo la mtu na kuonekana kama mtu wa kawaida.```
Nadhan wote tunajua ‘majini’ ni roho na roho hizo zinauwezo wa kujivika maumbo ama miili ya vitu mbalimbali ikiwemo miili ya wanyama au hata miili ya wanadamu, jambo ambalo huweza kufanywa pia na wachawi wa viwango vya juu. Kumbe bas unaweza kutazama video hizo au picha hizo za uchi ukizan unawatazama wanadamu wa kawaida kumbe ukawa unatazamana live na majini yaliyochukua shape za watu. Na kwa kutazama huko ndipo unakuwa umefungua mlango kwa roho hizo kukuingia ww na kukutumikisha kadri zipendavyo. Na roho hizo za kishetan zinapomwingia mtu humfanya kuwa mtumwa wa video hizo.
Watu wengi wamekuwa wakitazama video hizo kwa kisingizio cha kujifunza style mbalimbali za ufanywaji wa tendo hilo! Je ni kweli nuru yaweza kujifunza kitu chema katkat ya giza? Au ni mkristo yupi kati yetu anayeweza kutuambia ni wapi Adamu na Eva walipojifunza ama kutazama ufanywaji wa tendo hilo hata wakawazaa Kain na Abeli? Ndio maana leo hii wapo wengine wenye ndoa zao lkn hawapati tena msisimko wa mwili kwa kuwatazama wake zao had pale watakapotizama video hizo au picha hizo, je huu sio utumwa?
```Lakini pia sote tunajua ya kuwa ukimtizama tu mwanamke kwa kumtaman tayar unakuwa umezini nae rohoni mwako, je waweza kwel kuikwepa dhambi hii pale unapotazama picha na video hizo chafu? Wengine wameishia kujifunza ufanywaji wa tendo hilo kinyume cha maumbile yan anal sex kisha kuwalazimisha wenzi wao kufanya kwa kupitia njia hiyo, je Mungu hakukataza mambo hayo? Wapo pia wafanyao homosexual (yan watu wa jinsia moja) au group sex (yan mwanaume m1 akiwa na wanawake zaid ya m1 au mwanamke m1 akiwa na wanaume zaid ya m1) nk.```
*Je twaweza kujifunza kitu gani chema toka kwa watu hao wafanyao mambo hayo ya sodoma na gomora?*
*Au uliwahi kuona video hata 1 kati ya hizo wachezaji wake wanaanza kwa sala ya kumwomba Mungu na kisha wakahitimisha japo hata kwa maombi mafup?*
```Ajabu utumwa huo leo umewafanya watu wengine kuficha video hizo na picha hizo kwenye laptop zao, desktop, ipad au hata kwenye simu zao na kulock mafile hayo kwa kuyawekea password au majina ya kujua wao``` ,
*Lakini je unapofanya hvyo unakuwa unamficha nan hasa?*
*Je unazan wakat unahide mafolder hayo Mungu huwa hakuon?*
*Ni kwel unaweza kuwaficha wanadamu lkn je waweza pia kumficha hata Mungu wako?*
```Neno la Mungu ktk Warumi 1:28-32 linasema watu wanayajua mambo yote maovu yawapasayo hukumu lkn pa1 na kuyajua kwao bado wanayafanya mambo hayo na wale wasiyoyafanya wanakubaliana na wale wayafanyayo.```
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA