SOMA HII MAALUM KWAKO

Habari njema kwa wafamilia wote duniani, kama kuna mwanafamilia anachangamoto za KISAIKOLOJIA huo si mwisho wake wa maisha bali changamoto ambayo inaweza kupatiwa msaada na kuwa na full functioning being......kama kuna mtoto au mtu mzma anachagamoto tajwa hapo chini karbuni sana.....hatuna dawa bali nguvu ya saikolojia inaponya.....#therapists

Comments