Barabara ya Morogoro eneo la Kibanda cha mkaa, darajani, Mbezi, Dar es salaam maji yamejaa barabarani, tayari gari aina ya Hiace imedumbukia ndani ya maji na inasadikika walikuwemo watu wanne, Lori la mbao liko katikati ya daraja na watu watatu, maji yanazidi kuongezeka wanasubiri kuokolewa kabla lori halijasombwa na maji.
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA