FAHAMU WANAWAKE WANAPENDA NINI KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI



Naanza Na Wanaume Wanaume Walio Wengi Kwa Fikra Zao Kwa Mpenzi Wake Kikubwa Zaidi Uwaga Wanafikiria Kumpenda Mwanamke Ni Pale Unapo Mwachia Pesa Ya Matumizi.

Lakini Inakuwa Tofauti Kidogo Ndio Maana Unakuta Ndoa Nyingi Zinavunjika Kwa Kukosa Mapenzi Yanayo Paswa Katika Ndoa Nitakutajia Sifa Kuu Za Kuonyesha Mapenzi Ya Dhati.

Kwa Mke Wako Mpenzi Wako Kama  Ni Mwanaume Cha Kwanza Kama Unataka Ndoa Yako Idumu Milele Mwanamke Siku Zote Anataka Umuonyeshe Mapenzi.

Kwa Mfano Zamani Ulikuwa Unampigia Simu Mala Tatu Kwa Siku Leo Hii Umemuoa Eti Unampigia Mala Moja Tena Akipokea Unavimba Hautaki Kubembeleza (Muda Sio Mrefu Utaachwa) . 

Kuna Wengine Unakuta Bado Wachumba Bado Kuoana Mwanamme Anapiga Simu Usiku Tu Na Kuuliza Cha Night (Usiku) Asubuhi Hakuna Kumpigia Simu Mpenzi Wake Ata Kumjulia Hali Hakuna Unategemea Nini.

Zingatia Mwanamke Anahitaji Malezi Unambembeleza Kama Mtoto Mdogo Unaongea Nae Kwa Sauti Ya Mahaba Kama Upo Karibu Nae Unakaribia Unamuangalia Kwa Jicho La Huba Hapo Hamto Kaa Muachane Daima.

Mapenzi Kusikilizana Mapenzi Kuvumiliana 

Comments