POST YA DJ KHALED KUZUA UTATA KWA MASHABIKI

Alimpost Mwanae Akiwa Kwenye Ndege Na Kuweka Triple 4 yaani 4:44 pm Ambayo Ni Jina La Album Ya Jay Z. 

Post Hiyo Aliipost Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram Rapa Huyo Kutoka Nchini Marekani .

Mashabiki Kadhaa Wa Kadha Wakitoa Comment Za Kuuliza Vipi Au Kuna Uwezekano Wowote Wa Kufanya Remix Au Collaboration Na Jay Z (Holf).

Lakinj Mpaka Sasa Hakijaweza Kufahamika Kitu Gani kitaendelea Ila Dj Khaled Alimtagi Jay Kwenye Account Yake Ya Rocnation Ambayo Ni Recording Label Ya Jay Z .

So Kwa More Information Endelea Kukaa Nasi Muda Sio Mrefu Dj Khaled Atatoa Ukweli Wa Hizi Mambo

Comments