Watu 50 wameuawa na wengine takriban 200 wamejeruhiwa katika shambulio la risasi lililofanyika Las Vegas Marekani katika tamasha la muziki usiku wa jana.
Maaskari wamemuua Stephen Paddock mwenye umri wa miaka 64 ambaye ndiye anasemekana kufanya tukio hilo kutoka juu ya ghorofa ya 32 kwenye hoteli ya Mandalay Bay Las Vegas ambaye alianza kufyatua risasi ghafla kwa watu waliokuwa wamesimama nje ya jengo hilo.






Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA