Hatimaye #shilolekiuno_badgirlshishi aeleza kila kitu kuhusu Harusi yake inayotarajiwa kufanyika December 20 mwaka huu. ●
Shishi amedai mahari ambayo imekwisha tolewa na Bwana Uchebe ni Mtonyo ambao unaweza kununulia Ndinga aina ya Toyota IST, kwahiyo unaweza kuona ni Mtonyo mrefu kiasi gani.
Pia Shilole amedai kwamba anataka Ndoa yake ifanyike sehemu ambayo itakuwa ni ya wazi ili kila mmoja awe na uwezo wa kuhudhuria Ndoa hiyo na sio kwamba atafanya siri au kutoa mualiko kwa watu maalum, NO.
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA