NJIA ZA KUPITA ILI UPATE MAFANIKIO KATIKA UTAFUTAJI WAKO


Hakuna kitu cha thamani huja kirahisi, Maumivu, kufeli, kukataliwa na mengine mengi ni sehemu ya mimi na wewe kuwa imara zaidi kesho! 


Embrace the pains, challenges and objections they make us stronger and resistant in the future! Kama haviui vinatufanya kuwa imara zaidi. 


Vijana leo hii tunapitia changamoto nyingi sana katika kutaka kuyatimiza malengo yetu na ndoto zetu kubwa! 


Nikuhakikishie vipangamizi vipo, watu kutokuamini uwezo wako, watu kukuchukia bila sababu, watu kukusema wewe ni mdogo......hivi vyote viweke pamoja na vikupe nguvu ya kupambana zaidi maana malipizi mazuri kwa wanaokufanyia hayo ni mafanikio makubwa......Massive Success!! 


Usikate tamaa, usiangalie chini......angalia juu mwombe Mungu, angalia mbele.....ifuate Vision yako.....angalia mizizi yako....wazazi, ndg, watoto na watu wengine uwapendao......make them proud of you......Inawezekana!!!! 

#mrbrand 
#JobCreation 
#FinancialInclusion
Imeandikwa na Charles Nduku Mr Brand 

Comments