MEEK MILL AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 2-4 JELA

Bad news katika tasnia ya burudani, rapper Meekmill amehukumiwa kwenda jela miaka 2-4. Hukumu hiyo imetolewa jumatatu ambapo rapper huyo alifika rasmi kusikiliza mashtaka yanayomkabili dhidi yake, ikiwemo ya kumiliki silaha na madawa ya kulevya toka mwaka 2009, kufanya fujo na kupigana katika uwanja wa ndege St.Louis na mwisho ikiwa ni uendeshaji mbaya wa pikipiki.

Hukumu hiyo imetolewa na hakimu hiyo imetolewa na jaji Philadephia dhidi ya Meekmill. Kama utakumbuka vizuri siku za hivi karibuni niliripoti kesi hii inayomuhusu mshikaji wetu Robert Williams maarufu kama Meekmill. Hii ni habari mbaya sanaa kwa mashabiki wa rapper huyo ambae anatikisa na hit song kibao alizozifanya na mastar kibao kama vile Chris

Comments