Harmorapatz1 - Dah naamini sana katika ndoto kua ipo siku ndoto unayoota itatimia na kua kweli sina cha kusema zaidi ya kumpa hongera @dogojanjatz naamini ushupavu na kutovunjika moyo kumemfanya leo akawa mume wa mwanamke wa ndoto zake.... Nami sivui imi naamini @wemasepetu ipo siku atakua wangu ugumu alioupata #janjaro umenipa matumaini kikubwa ni kutulia na ndoto yangu na kulenga ipo siku itatimia... One day you will be mine....❤ @wemasepetu .. Hongera #dogo #ngarenarotepublick #naitajimsaidizimrkiki
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA