diamondplatnumz - Najua wengi mlikuwa na Shauku kubwa ya uwepo wangu pale mlimani city jana... ila amini kuwa, shauku yangu ya kuwepo pale kuimba na kufurahi pamoja nanyi, ilikuwa ni kubwa kuliko yenu...na ndiomaana nilijitahidi sana kuhamasisha kwa uwezo wangu wote ili kwa wingi tufike pale....lakini kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sikuweza kufanikiwa kufika... Pengine Haikuwa Rizki yangu ama Labda Mwenyez Mungu hakuniandikia siku ya jana kujumuika nanyi pale...Hivyo tusisononeke wala kuchukia...Niwaombe radhi na kuwapa pole wote ambao waliokwazika jana...Inshaallah Mwenyez Mungu siku akiniandikia kuwa pamoja nanyi ntawataarifu..... nimpongeze pia Mkuu wa mkoa pamoja na waandaaji wote, Wanavyuo, Media , na wasanii wote kwa kuifanikisha #FreshersParty ...Hakika Historia iliandikwa🔥🔥🔥
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA