#Miaka56YaUhuru
Mgawanyiko wa wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ambao wametangaziwa msamaha na Rais Magufuli.
Uyui- 2
Butimba- 5
Rwanda-Mbeya- 4
Dodoma Isanga- 15
Maweni Tanga- 11
Morogoro Kiguluwira- 5
Ukonga- 19
#Miaka56YaUhuru
Wafungwa waliohukumiwa kunyongwa #Tanzania.
Jumla- 522
Wanaume- 503
Wanawake- 19
Waliopewa msamaha- 61
Waliosalia gerezani 461
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA