Jux Akili Kusifiwa Na Vanessa Mdee

NI UJUMBE ALIOUPOST JUMA JUX KWENYE ACCOUNT YAKE YA INSTAGRAM IKIASHILIA KUWA HIVI KARIBUNI VANESSA MDEE AMEMSIFIA JUX KWENYE KATI YA NGOMA YAKE IYOPO KWENYE ALBUM YA VANESAA MDEE .

HIYO ALBUM MUDA SIO MREFU ATAIACHIA VEE MONEY INAYOKWENDA KWA JINA LA MONEY MONDAY .

UNAWEZA TOA MAONI YAKO HAPO CHINI USI COMMENT MATUSI !

Comments