STAMINA AMVISHA PETE MCHUMBA WAKE AWASHUKURU WASANII HAWA

AMEANDIKA KUPITIA UKURASA WAKE WA INSTAGRAM @staminashorwebwenzi - Safari yetu ilianzia mbali sana mpaka hapa tulipofikia,,na bado tunaenda mbali mbali zaidi ya tulikotoka,,umenivumilia mengi sana,,vikwazo na matatizo hapa kati tumepitia mengi sana ila bado tukasimama pamoja,,MUNGU ABARIKI KILA HATUA YETU KATIKA MAISHA YETU,,wanga hawakosekanagi katika hili swala ila wamechelewa maana tuna protein za kutoshaaaaaa😂😁😅,, THANKS @roma_zimbabwe umeni inspire sana katika hili wewe na @mrs_roma2030 ,,shukrani kwa timu nzima ya #ROSTAM @djj_one @mokobiashara na BOSS WETU @musababaz kwa kua karibu katika kila jambo,,SISTER @reyjons ahsante sana suport yako naithamini na kuiheshimu,,AHSANTENI MASHABIKI ZANGU NA WADAU WOTE AMBAO MMEKUA MKISUPORT KAZI ZANGU...BILA NYINYI NISIFIKA HATUA HII PIA YA KUWAZA NDOA,,,mtu mbaya @ki2pe umetisha na haya mavazi ahsante sana #AHSANTENI WOTE

Comments