WHITE MELLAH : Azua Mambo Makubwa Katika Kuamini Unachokifanya

Model : Msanii Anaekuja Kwa Kasi Kubwa Soma Ili Uweze Kumfahamu Kiundani Zaidi

Ameibuka Na Kusema Haya 
Nimekuwa na vikwazo Vingi vya hapa na pale ila namshukuru mungu pia mashabiki zangu ndani na nje ya nchi. 

Nimeshapata mafanikio sio kama vile nilivyotamani iwe ila ni kiasi na naendelea kuzifanya kazi zangu kwa sababu nazipenda Model  Na Kuimba. 

 WHITE MELLAH 

Katika wasanii naotamani kufanya nao kazi kwa hapa Tanzania ni 

Ally kiba 

Diamond Platnumz 

Vanessa mdee 

Nigeria nao tamani kufanya nao kaz ni. (1)Maleek berry 

(2)ice prince

(3)wizkid

Wasanii WA South Africa naotamani kufanya nao kazi 

(1)aka

(2)cassper nyovest 

(3)nasty c

American naotamani kufanyaa nao kazi 

(1)drake

(2)chris brown

(3)jay z

(4)usher

White Mellah Nikamuuliza Mpaka sasa ushafanya ngoma ngapi na ulisha mshirikisha msanii gani? 

NIMEFANYA : Ngoma (4) Nne Kwenye Studio Za Banny Music Na Max Maizer

Nyimbo Zangu

1)Hawapendi =producer by banny music 

2)Kule kule =producer by banny music

3)Far a way=producer by Max maizer 

4)Good time =producer by Max maizer

RAFIKI ZANGU WA KARIBU NI DELILAH NA SAM WA UKWELI. 

NA mimi nikacheka Nikamuuliza s kide Akajibu Mc kibajaji Nimshikaji wetu Kuhusu White Mellah Sio Mtu wake wala S Kide Akatoka Na Kuingia Kwenye Gari Na Kuondoka. 


Unawashauri nini walio na ndoto kufanya kazi kama unazofanya wewe Umodel na Uimbaji Kwa Ufupi Usanii

Akafunguka na kusema wasikate tamaa kama una kipaji Amini kwa kile unachokifanya Mafanikio Utayaona. 


CHA MWISHO KWA MASHABIKI ZAKO NINI :> WAENDELEE KUNISAPOTI KWA KAZI ZANGU NA PIA KUNA NEW PROJECT INAKUJA SOON WATEGEMEE VITU KONK ZAIDI MDA SIO MREFU
Asante Kwa Kusoma Hio NDIO Enterview Fupi kuhusu white mellah Ubarikiwe sana msomaji wangu 

PIA UNAWEZA KUTANGAZA NA SISI KWA KUPIGA SIMU 
+255768874314
+255627226505 

Sisi kinguswaz.blogspot.com

Comments