Rapa Huyo afariki Usiku Wa kuamkia Leo Tar 13-Feb 2019 Ikidaiwa Kuwa Alikuwa Akisumbuliwa Na Tumbo pia shinikizo LA damu Alipelekwa Katika Despensary Na Kumtoa Kumpeleka Hospitali ya lugalo na umauti Ulimkuta Huko MTU wake Wa karibu Isabella Ndio Alikaririwa Hivyo. Ni Mimi mwandishi wako Josephat Charles
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA