Ukiamka hujui cha kufanya fanya mambo yafuatayo:
1st: Fanya Mazoezi/kama ni kukimbia au kuruka kamba au mazoezi ya aina yeyote ile hii ni kusaidia akili yako kuconnect kirahisi zaidi when feeling lost!
2nd: Tafuta kitu chochote soma hata kama huelewi wewe kisome tu, kitakusaidia hapo mbele.
3rd: Usishinde ndani umelala au umekaa unaangalia Movie.....Toka nje tembea tembea baadae rudi ndani.....please usishinde ndani.
4th: Mpigie simu rafiki au mtu wako yeyote wa karibu mwenye kukujenga ongea nae chochote au mtembelee ukaopige nae story za kawaida
5th: Kama ni mpenzi wa kuogelea nenda kaogelee!
6th: Pata sehemu tulivu tofauti na nyumbani kaa pumzika zima simu kuwa mwenye fikiri kwa sauti
Imeandikwa Na Charles Nduku
Mr Brand
WASILIANA NASI
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA