MANENO MACHACHE ALIYOYASEMA KING USWAZI AKISHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

HAPPY BIRTHDAY KING USWAZI.

Akiwa Anasherekea Siku Ya Mfanano Wa Kuzaliwa Leo Kwa Majina Yake Yote Anayotumia Kitaifa Josephat Charles Mtengwa   A.K.A King Uswazi Amesema Katika Siku Hii Amemshukuru Mungu Kutimiza Miaka Kadhaa.



Katika Tasnia Ya Mziki Duniani Ameweza kufunguka Na Kusema Ana Mchango Mkubwa Sana Kuanzia Kupromote Kazi Za Wasanii Wakubwa Na Wadogo Kupitia Platform Zake Anazomiliki Kama ROKI STUDIO , KING USWAZI BLOG.

Hizi Ni Pande Mbili Tofauti Katika Kazi Roki Studio Inajishuhulisha Katika Video Video Shooting Na King Uswazi Blog Ni Kwa Ajili Ya Kusambaza Mziki Duniani Kote Ikifatiwa Na YouTube Channel Kama King Uswazi Na Roki Studio Zote Hizi Hufanya Sapoti Ya Kusambaza Kazi Za Wasanii Tabaka Mbili.

ROKI STUDIO - Hii Husambaza Kazi Za Mziki Wa Asili Pia Kusapoti Vipaji Vya Wasanii Wa Mziki Wa Asili Duniani Kote.

KING USWAZI BLOG - Hii Kusambaza Kazi za Wasanii Wa Kizazi Kipya Duniani kote Pia Kusapoti Vipaji Vya Wasanii Wa Mziki Wa Kizazi Kipya Dunia Nzima.

Amezungumzia Katika Kipindi Cha ROKI STUDIO na Kusema Ameweza Kupokewa Vizuri Na Kuamika Katika Wasanii Alioweza Kufanya nao kazi Na Kusema Lengo Lake Kuu Ni Kufanya Mziki Wa asili Uweze Kufikia Hatua Ya International Zaidi Pia Kuomba Wasanii Wa Asili Wasitengane Wapambane katika hili Ili Kwa Pamoja Waweze Kufika Mbali.

#Heriyakuzaliwa #Kinguswazi #Rokistudio #Rokistudios #ROKINI


Comments