Ameandika Roma Mkatoliki
#PART_3
Siku Moja Tukiwa Mtwara Kwenye Show
(Picha Namba 5)Nilikuwa Na Prof, Tumeagiza Kitimoto Huku Tunapiga One Two One Two 🍺 Nikamsimulia Prof Hii Story Yooteee Na Nikamwambia Brother The Hussle And Struggle Was Really.
Finally Leo Tuko Wote Hapa Na Tunashea Mic 🎤 Moja Na Jukwaa Moja Na Kila Mtu Atasepa Na Kijiji Chake JHIONI YA LEO!!
Alicheka Na Akafurahi Saaanaaa Na Hakuamini Kama Kwa Muda Wote Sikuwa Nimewahi Kumuhadithia Hii Story Na Tunakutana Siku Zote!!
Nikamwambia 🍺 Inasababisha Mtu Afunguke Ya Moyoni😁 Akacheka Tena Tukagonga Cheers Na Kitimoto Kikaja And The Rest ‘z History‼️
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
LAST WEEK NIMEONGEA NAYE NA NIMEFURAHI SANA KUPATA TABASAMU LAKE!!
Mungu Wetu Aliyehai Aendelee Kumuweka Kwenye Afya Njema Milele Yote……
Na Hata Ukiniamsha Usiku Wa Manane Ukaniuliza Msanii Wako Bora Duniani NITAKWAMBIA PROFESSOR JAY❤️ SIYO TU TANZANIA AU AFRICA NO!!
DUNIA NZIMA ❤️
.
#Muziki_Una_Hadithi_Nyingi_Sana
VIA ROMA MKATORIKI
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA