Director Lupigi Lugosha Amefunguka Kwa kusema Nilichokipigania Siku zilizopita kupitia mitandao ya kijamii Hatimae limewezekana Wasanii Wa Asili Kuwania Tuzo.
Lupigi Lugosha Amesema Kwa Sasa Mimi nimekuwa mkubwa Kwa Sababu Hapa ndio nimejua Kuwa Mimi ni Nani Kwa Sasa Kwa Sababu nilianza kupaza Sauti Kwa siku Nyingi Kupitia Mitandao Mbalimbali Ya mitandao ya kijamii Hatimaye Mamlaka husika imesikia na Sasa Tuzo Zinakuja kwenye Asili Yetu Tazama Hapo Chini Facebook Akipaza Sauti Yake Lupigi Lugosha
Nilifurahi sana kuona Wasanii Wetu waasili wametangazwa Kuwania Tuzo Hizi Ni Hatua kubwa sana kwenye Mziki Wetu Na Pia Kutangaza Asili Yetu Tuendelee Kuwapigia Kura Wasanii Wetu Kuwa link Hii https://tanzaniamusicawards.info/#/
Wasanii Hawa Hapa Chini Ndio Wanaowania Tuzo Za TMA Piga kura Kwa Wingi Asili Yetu Iendelee Kupepea Na siku Moja Tuone Wasanii Wetu Wa Asili wanaenda kupiga show nje za nchi Kutangaza Asili Yetu
Makundi Ya Music Unaowania Tuzo Za TMA
MPIGIE KURA MAMA USHAURI
MPIGIE KURA NYANDA LUNDUMA
MPIGIE KURA SUZI
MPIGIE KURA ELIZABETH MALIGANYA
MPIGIE KURA KISIMA MAJABALA
LINK HII HAPA CHINI BOFYA UPIGE KURA SASA
https://tanzaniamusicawards.info/#/
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA