Msanii Wa Mziki Wa Asili Majape Amefunguka Machache Kuhusu Waziri Wa SANAA Tamaduni Na Michezo Hamis Mwinjuma A..K.A Mwana FA
MAJAPE amefunguka Na Kusema Waziri Wa Sanaa Tamaduni Na Michezo Huu Ni wakati Wetu Sasa Wasanii Wa Asili kufanya Mziki na kuupeleka Mbali Zaidi Ndoto yangu kubwa ilikuwa ni kutuona sisi Wasanii Wa Asili Serikalini
Tuzo Za TMA Wasanii Wa Asili ambao wameingia kwenye kinyang'anyilo Amewapa Hongera na kusema Role Model Wake Hayupo kwenye Tuzo Hizo BHUDAGALA Malonja Pia Na Kusema ila Kisima Majabala Amewakilisha Maana Hata Kisima ni Mwanafunzi Wa BHUDAGALA.
Pia Amesesisitiza Msanii Majape tuwapigie kura Wasanii waliopo kwenye Tuzo Hizo Na pia amesema mtegemee Mazuri mwaka huu Kuna nyimbo Kali sana na video kiwango Cha juu
Ameyasema Hayo Msanii Majape
Via Roki Studio
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA