Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, Gilles Muroto.
By Josephat Charles
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, Gilles Muroto amesema jana walipata taarifa za kuwapo kwa kundi la watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika Kijiji cha Mtambani, Kata ya Tambani Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.
Dar es Salaam. Watu watatu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wameuawa kwa kupigwa risasi na polisi.
Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Temeke, Gilles Muroto amesema jana walipata taarifa za kuwapo kwa kundi la watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi katika Kijiji cha Mtambani, Kata ya Tambani Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani.
Amesema watu hao waliuawa katika majibizano ya risasi na polisi, huku askari mmoja akijeruhiwa bega la kushoto na amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akiendelea kupata matibabu akisubiri kufanyiwa upasuaji mkubwa.
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA