#AJALI Kiungo wa Simba Jonas Mkude apata ajali ya gari akirejea Dar. Amepatiwa huduma ya kwanza na sasa anapelekwa Dar kwa matibabu zaidi. Majeruhi wengine wawili waliokuwemo kwenye gari hiyo wamewahishwa Hospitali Morogoro. Ajali imetokea baada ya tairi la nyuma kupasuka.
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA