ELIMIKA NA MR BRANDTZ CHARLES NDUKU

Unaweza ukawa unapitia baadhi ya vipindi vigumu sana katika safari hii yenye mabonde na milimani, jua na mvua katika kuelekea kuifuata ndoto yako......inafikia hatua hadi unaanza kutokiamini kile unachokifanya kwa sasa.....ndg zangu ili mbegu iote huwa inaoza kwanza.......ebu amini na kuwa na msimamo wa kuendelea kumwangilia hii mbegu inayooza kwanza ili baada ya mda mfupi itaota na kila mtu atafurahi na hata ambaye hukushiriki kwenye kuimwagilia......baada ya hapo endelea kuipa mazingira chanya mpk hapo utakapo vuna na kuwa na mavuno ya kuweza kuwarisha watu walio pembeni na wenye uhitaji......usirudi nyuma, kuwa na imani na kile unachokifanya leo....endelea kufanya kama ulivyoanza na si vinginevyo.......#mrbrandtz

Comments