Kipindi naenda shule kwa miguu, naenda bila uniform nzuri, naenda bila hela ya andazi......wakati wenzangu wengi wana uniform nzuri, wanahela ya chai, wamevaa viatu vipya.......Akili yangu ilijaa UOGA na kujua wale ndiyo wenye AKILI kuliko mimi.......marafiki wenye nyumba nzuri, magari mazuri na vitu leo hii......unaweza ukadhani ndyo wao nwenye akili na nafasi ya kuishi hapa dunia........Kumbe mwenye NGUVU kwenye dunia hii ni mwenye MAWAZO chanya yenye kumbadili Mtu, Jamii, Nchi na Dunia kwa ujumla.....Dunia hii inatawaliwa na watu wenye akili na mawazo makubwa.......wekeza kwenye kupata maarifa mapya ndyo nguzo sahihi ya kuishi kwenye ulimwengu huu......usijione huna thamani kwa sababu leo huna viatu, huna nguo, huna chakula, huna elimu, huna nafasi......kazi yako moja tu tafuta MAARIFA hao wenye magari na nyumba nzuri watakufuata na kukulipa baada ya mda mfupi........#Mrbrandtz
Comments
Post a Comment
TOA MAONI YAKO HAPA