JITAMBUE KWANZA; FAHAMU MADHARA YA KUNYWA SODA ZAIDI YA 2 KWA SIKU.

NDIO UNYWAJI WA SODA ZUNGUMZIWA HAPO JUU.

Wengi wetu hatukuwahi kujua madhara yatokanayo na unwaji wa soda.Lakini kupitia jitambue kwanza tunaweza kuona utafiti uliofanywa kuwa Soda inaweza kuwa ni hatari kwa figo zako.
Zaidi ya wanawake 3000 nchini Marekani, watafiti kutoka shule ya utafiti ya "Harvard" wamegundua kuwa unywaji wa soda unawaongezea hatari mara mbili ya kudhurika figo.
Watafiti hao wameeleza kuwa matatizo hayo ya figo huweza kuwapata wanawake mara wanapokunywa soda zaidi ya mbili kwa siku, figo huanza kushuka utendaji kazi wake wa kawaida. Watafiti hao wamevituhumu vyakula vyenye sukari ndivyo husababisha matatizo ya Figo.

Huu ndio mchoro wa figo unaoweza kuathirika na ulaji mwingi wa vitu vyenye sukari, kwa mfano soda zaidi ya mbili kwa siku, huiweka hatarini figo yako.

Comments