POST YA CHID BENZ ILIOZUA UTATA KWA MASHABIKI ZAKE

Nipost Ambayo Imepostiwa Kwenye Account Halisi Ya Chid Benz A.K.A Chuma Founder Wa Lafamilia.

Ni Baada Ya Kutolewa Mapovu na Mashabiki Zake Kuhusiana na Tuhuma Za Kukamatwa Akifanya Biashara Ya Madawa Ya Kulevya.

Ikiwa Siku Chache Alitambulisha Ngoma Yake Ya Inayoenda Kwa Jina La "Muda" Akiwa Ameshirikisha Legendary "Q Chief" Soma Hapo👇👇

Comments