BREAKING NEWS : Kutoka Dodoma Mh Tundu Lissu

Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa chama hicho Tundu Lissu. Tundu Lissu amekimbizwa katika Hospital ya Dodoma.

Comments