MABLOGA WAONYWA KENYA NA MAMLAKA YA MAWASILIANO WA KITAIFA

KENYA: Mamlaka ya Mawasiliano na Tume ya Umoja na Mshikamano wa Kitaifa imewaonya mabloga na wasimamizi wa mitandao ya kijamii.

 Mamlaka hiyo imesema kuwa wanaweza kukabiliwa na faini kubwa na kifungo cha hadi miaka 5 jela kutokana na maudhi ya kuchochea vurugu katika majukwaa yao wakati wa uchaguzi wa marudio kesho ~ 26 October 2017

Comments