MATOKEO YA SIMBA NA YANGA TAREHE 28 OCT, 2017


Dakika 90 za mtanange wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara kati ya Simba na Yanga zimemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana goli 1-1
Mechi ya miamba hao miwili ya soka Tanzania, Simba na Yanga imefayika leo Jumamosi Oktoba 28,2017 katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam

Comments