TAKUKURU imeutupilia mbali ushahidi wa wabunge Joshua Nassari na Godbless Lema 

Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa nchini - TAKUKURU imesema imeutupilia mbali ushahidi wa video uliowasilishwa na wabunge Joshua Nassari (Arumeru Mashariki) na Godbless Lema (Arusha Mjini) ukiwaonyesha madiwani waliohama CHADEMA na kwenda CCM wakihongwa rushwa, yadai kuwa Mbunge Nassari aliharibu uchunguzi baada ya kuingiza siasa katika jambo hilo.  

Comments