SADIO MANE NA UTAJIRI WAKE

Amejenga hospitali kwa kiasi cha £455,000 🏨 na shule kwa kiasi cha €250,000 🏫 katika kijiji chake, Bambali.

Anaipa kila familia €70 kila mwezi kwa Tsh 🇹🇿 171,600.
Ameweka mtandao wa 4G kwa ajili yao.

Amejenga kituo cha mafuta ⛽ na posta.

Watu 2,000 wanaishi katika kijiji cha bambali.


Via Josephat Charles

Comments